Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Nimecheka leo Dom kwa Tv naona mtu anakimbia kwa speed ya hatari yuko mbele krb na gari lile jeusi na yupo serious. Nikasema kweli tunatofautiana vipaumbele
Hahaha eti tunatofautiana vipaumbele. Yani au wanataka waonekane kwenye tv?
Zama hizi za Corona unakusanya familia nzima kwenye mikusanyiko mikubwa ili iweje?
Halafu kuna lijinga limoja humu likaandika kwa kutumia makalio likasema habari hiyo imetengenezwa sio ya kweli.Limejionea lenyewe jinsi ilivyotengenezwa akili yake sawasawa na ya pimbi.Niliona video watu wanesongamana balaa na anayechukua anasema. "Ona watu wanakufa". Vyombo vya ulinzi na usalama haviwezi kukwepa lawama kwenye hili suala.
PointBaba usipokuwa dikteta.. wanawake wanaleta balaa..
Tazama mama kabeba watoto wake wote wadogo wadogo wakamuage magufuli .. mtoto anaenda msibani kufanya nini?
NANGH'O ULINCHILUCHILU SHII,IDICHIZA'IIGINEHE?Nahene jaga nambhala wise ila sio vizuri [emoji22]
Hiyo question mark imejichomeka hapo!!Unatoa TAARIFA au unauliza swali..?
Ok mkuuHiyo question mark imejichomeka hapo!!
Mungu awalaze mahali pema peponi.Mimi nilishangaa familia moja imepoteza watu wanne mke watoto na msaidizi wa nyumbani, inakuaje familia nzima mnaenda kwenye shughuli moja wote ndio kuna baadhi ya maeneo watu wa familia moja ni mwiko kusafiri sehemu moja wote maaana laweza kutokea ajali kizazi chote kikapotea.