Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Hakukua na Namna ya kudhibiti ule Umati uliofika pale, Ni AJARI kama ajari zingine za barabarani au huko majumbani kwenu, kukanyaga ni matukio yasio husisha degree yako au diploma hata huko ulaya yanatokea sana (enyi wasomi humu msiwaone hawana akili )

Mwenyezi Mungu awalaze marehemu mahali pema peponi
Hivi ukiwa Mataga unapoteza Kila kitu na kusimama upande wa devil?
 
[emoji855][emoji855][emoji855][emoji855][emoji856][emoji856][emoji856][emoji24][emoji24][emoji24].
Yaani majanga juu ya majanga.
Msiba juu ya misiba.
Ni wakati mgumu
 
. 21 Siku ya hao wajumbe kumwona mfalme ilipofika, Herode alivaa mavazi rasmi ya kifalme akaketi juu ya kiti chake cha enzi akaanza kutoa hotuba. 22 Alipokuwa akihutubu watu walimshangilia, wakapiga kelele wakisema, “Hii ni sauti ya Mungu! Sio sauti ya mwanadamu!” 23 Mara malaika wa Bwana akampiga Herode; akaliwa na funza akafa kwa sababu hakumpa Mungu utukufu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hutaki nini sasa, hata mate yako mwenyewe yanaweza kukupalia tukakubadirisha jina😭!
Hivi unaona treni inakuja halafu unalala kwenye reli halafu useme siku ilikuwa imefika! Kama ni hivyo huwa tunachukua tahadhari za nini sasa? Watu si tungekuwa tunapika hata mimea yenye sumu tu kwa kuamini kama imefika imefika, kwa nini kwenye boti kuna life jackets? Kwa nini kuna alama za batabarani? Kwa nini waendesha pikipiki wanatakiwa kuvaa helmet?
Msipende kuongea ujinga ili ku justify mambo ya kipuuzi. As long as uko hai, ni lazima uchukue tahadhari.
 
Hawataelewa maana wana masikio lakini hawasikii na wana macho lakini hawaoni. Nililiona hili linakuja ila sikujua ni kwa namna gani.
 
Hakukua na Namna ya kudhibiti ule Umati uliofika pale, Ni AJARI kama ajari zingine za barabarani au huko majumbani kwenu, kukanyaga ni matukio yasio husisha degree yako au diploma hata huko ulaya yanatokea sana (enyi wasomi humu, msiwaone hawana akili )

Mwenyezi Mungu awalaze marehemu mahali pema peponi
Hii sio post ya Jr ni ripoti ya kipolisi Temeke
 
Hakukua na Namna ya kudhibiti ule Umati uliofika pale, Ni AJARI kama ajari zingine za barabarani au huko majumbani kwenu, kukanyaga ni matukio yasio husisha degree yako au diploma hata huko ulaya yanatokea sana (enyi wasomi humu, msiwaone hawana akili )

Mwenyezi Mungu awalaze marehemu mahali pema peponi
Mataga hamjawahi kujali uhai na afya za Watanzania
Mumezuia mpaka chanjo yetu kwa ajili ya vijisiasa vya kujinga
 
Back
Top Bottom