Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
picha yako tafadhaliHabari members...
Mimi ni mgeni humu Jf na nineijua punde tu Jf kupitia Facebook. Naombeni mnielekeze ,mnipokee na kuwa namm humu jf. Nitafurahi mkinikaribisha vizur pia kama nitapata marafiki wengi wa jinsia zote..
Mm mgeni wenu Ray van Boy.
Ahsanteni
Picha yann tena mm kidume ujue labda ungekua jikepicha yako tafadhali
TBS ya melo imenihakikisha kabisaUmeshapewa test na Mello ya kupimwa uwezo wako wa kufikili?
Thanx charii anguKaribu mkuu
Haaaa kwani kukoti ni shida sanaMultiple Id's i see mgeni gani unajua kuquote
Nakupenda wewe basi tukaribu
Ray van Boy my nameJina lako nani!???
Nakupenda wewe basi tu
Elimu yako Tafadhali!?Ray van Boy my name
Welcome back....Tulimiss thread zakoHaaaa kwani kukoti ni shida sana
Thread zipi mkuu mimi nimezoea fb leo ndio nimeungiwa account jfWelcome back....Tulimiss thread zako
Nimeishia Form twoElimu yako Tafadhali!?
Noo mimi ndio mara yangu ya kwanza, yaani kuweka picha nashindwa kabisaMmh wewe mwenyeji bana
Unaishi wapi Tafadhali??Nimeishia Form two