Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
- Thread starter
- #121
Kama unanifaham ni pm tuonenilisha kufaham ngoja nisikutaje kwa kulinda jina lako maana wanakufaham wengi.........ila si mbaya kuwa na akount 2.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unanifaham ni pm tuonenilisha kufaham ngoja nisikutaje kwa kulinda jina lako maana wanakufaham wengi.........ila si mbaya kuwa na akount 2.
Ahsante dada yakekaribu mkuu
Sorry sana napenda jokes tu
wewe me sijui cha ugeni wala uwenyeji kuna vitu unatakiwa ulipie kwanza..Ahsanteni kwa ukaribisho wenu mzuri..nawashukuru sana nafikir tutaendelea kuwa pamoja. Thanx mkuu melo kwa kutukutanisha watanzania vijana
Khaaaaaaaaa yote hayo mimi tu. Mbona wakati najiunga sijaona mambo hayo eeeh hela nalipeje sijaona nambawewe me sijui cha ugeni wala uwenyeji kuna vitu unatakiwa ulipie kwanza..
kodi ya jina,kodi ya ugeni,kodi ya mapato,sadaka ya mtandao,hela ya umeme wa betri na mtandao,fedha ya udukuzi usomaji na uandikaji,ruzuku ya kazi yako,sadaka ya maafa,burungutu la chakula na maji ya kunywa plus kunawa,fedha ya mwenyekiti mpokeaji(ambae ndo mimi),fedha ya mfukuzaji(mimi),hela ya mpiga BAN! na mpigwa BAN yani ukipigwa ban unajilipia na aliekupiga unamlipa,kodi ya uwenyeji bila kusahau malipo ya ukweli na kudanganya kuwa wewe ni mgeni au si mgeni sambamba na kodi ya utumbuaji bila kusahau na tozo ya ulimbikizaji usisahau na ya utongozaji maana humu kuna dada zetu,nadhani umeelewa kila kodi hapo buku ten haya fasta kabla haujala BAN ya kukaidi kodi hizo!
0123456789 namba zote za watu huwa zipo humo sasa baatisha yakwangu unitumie ole wako ukosee walahi unakula BAN! isiyopungua miezi 6 na fine ya hamsini elfu na hiyo ndo mitihani ya humu komaa ukishindwa lipa tozo ya kushindwa..Khaaaaaaaaa yote hayo mimi tu. Mbona wakati najiunga sijaona mambo hayo eeeh hela nalipeje sijaona namba
Ila wewe jamaa mhuuuu hata kama mm mgeni sio kwa kunionea hivyo daaah. Mm nitarudi Fb nilipozoea sasa0123456789 namba zote za watu huwa zipo humo sasa baatisha yakwangu unitumie ole wako ukosee walahi unakula BAN! isiyopungua miezi 6 na fine ya hamsini elfu na hiyo ndo mitihani ya humu komaa ukishindwa lipa tozo ya kushindwa..
Yaani kuja na kuja amesha kudondokea.Mmh wewe mwenyeji bana
Morning my emmyYaani kuja na kuja amesha kudondokea.
Hii ngumu kumeza aisee
Mimi mzima,Halafu weweee.
Safi habari yako?
Mambo Emmy uko poaHalafu weweee.
Safi habari yako?
KuumbeeMambo Emmy uko poa
Humu watu hufahamika kwa uandishi na michango yao.Mbona naambiwa sana kua mm ni Mondray. Ndio nani huyo na rayyoungr ndio nani
Duh mgeni unajua mpaka maandishi ya rangi rangi.
Wewe ni Rayyoungr tushakujua
Wewe kama sio Rayyoungr basi ww ni mondray kama sio hawa wote wawili naomba mods wanipe ban
huyu ni Rayyoungr