Habari members wenzangu, mimi mgeni hapa

Samahani wakuu naomba mnielekeze jinsi ya kuweka profaili picha
 
Kawaida yangu mm hua ni mchangamfu siku zote, hata kwenye magroup ya Wasap na Facebook hua wananfaham. Sijari kama ni mgeni au mm nachangia tu na kua peace na wana
Mchangamfu na pia unasifa ya kutokukasirika kama Rayyoungr
 
Uzi umefungwa....
Kama kuniikaribisha tayarii..
Tutakutana kwenye majukwaaa..
Ahsanteni nyooooteeeee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…