Habari members wenzangu, mimi mgeni hapa

Habari members wenzangu, mimi mgeni hapa

Habari members...
Mimi ni mgeni humu Jf na nineijua punde tu Jf kupitia Facebook. Naombeni mnielekeze ,mnipokee na kuwa namm humu jf. Nitafurahi mkinikaribisha vizur pia kama nitapata marafiki wengi wa jinsia zote..
Mm mgeni wenu Ray van Boy.
Ahsanteni
Karibu sana pita ukae, jisikie uko nyumbani. Unakunywa kinywaji gani?
 
Ushatoa kiingilio? Karibu kule jukwaa la Biashara tukupe utaratibu....
 
Karibu kijana, unamfahamu [HASHTAG]#DaudiBashite[/HASHTAG]? 🙄 😵 🙁
 
Back
Top Bottom