Habari naombwa kusaidiwa

Habari naombwa kusaidiwa

Walipima damu
Choo
Mkojo nikakutwa damu haina shid yoyote isipokuwa ilipungua tu ilikuwa 11 na kuhus allergy sikupimwa kwa sabb walisema inagarama kubwa sana hivyo nikapewa dawa za maumivu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na je tatizo la kuwashwa mwili mzima na kutoka na vipele kama vya joto lakini sio vya joto hapo tiba yake ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

kama tatizo ni ngozi ukioga, utakua na aleji na sabuni unayotumia
all in all nenda kamwone dokta aliekaribu nawe kwa maelezo zaid dorin
 
Walipima damu
Choo
Mkojo nikakutwa damu haina shid yoyote isipokuwa ilipungua tu ilikuwa 11 na kuhus allergy sikupimwa kwa sabb walisema inagarama kubwa sana hivyo nikapewa dawa za maumivu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanunue dawa moja inaitwa SK Derm tumia mara mbili kwa siku (kila baada ya masaa 12) baada ya kuoga kwa muda wa wiki moja then leta mrejesho. Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nina tatizo lankuwashwa mwili mzima na natoka vipele vidogovidog hasa pale ninapotoka kuoga je tiba ni ipi na lingine kuhusu koo yaan nikimeza chakula nasikia kitu kinapanda na kushuka je nini shida naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Una sumu/ toxic nyingi mwilini, unatakiwa ufanyiwe chelation. Hizo toxic ndo huleta allergy na matatizo mengine
 
katika upande wa koo, utakua una kiungulia ambacho kimekuwa kikubwa ambacho kimeleteleza mchubuko ambao unaumia ukimeza kitu,
katika upande wa kuwashwa jaribu kubadili sabuni unayotumia na mafuta pia sawa dorin
Hujui kitu wewe, nyamaza. Ahsante kwa kumshauri
 
Chelation ni nn?/na matatizo mengine ni yapi?
Naomba nijupe kazi mwenyewe ujifunze afya.
Nenda Instagram then mfollow Drsebicell food, utaona vyakula vingi vinavyofaa kuondoa sumu. Pia follow #detox huko huko insta, utapona na kujisikia vizuri.
Chelation kwa kifupi ni kuusafisha mwili dhidi ya sumu/ chemical zilizojaa mwilini
 
Na vipi kuhusu tatizo la koo maan kuna kitu kinapanda na kushuka alf kuna muda kinatulia kwenye koo alf nikila chakula kuna muda inakuwa ngumu kumeza mpk nishushie na maji na sometimes nahisi kama mwili una joto alaf joto bdae linapoa
Usije tumia dawa za hospitali zinaongeza matatizo.
 
Na vipi kuhusu tatizo la koo maan kuna kitu kinapanda na kushuka alf kuna muda kinatulia kwenye koo alf nikila chakula kuna muda inakuwa ngumu kumeza mpk nishushie na maji na sometimes nahisi kama mwili una joto alaf joto bdae linapoa
Hiyo yote ni kitu kimoja kinachosababisha uchafu/sumu/chemical mwilini. Na sio hivyo tu bali kujamba kwingi, kubeua, kupata joto bila sababu, kupenda vitu vya sukari nk ndo dalili hizo.
Safisha mwili then kula madini, pona kabisa
 
Sawa ahsante mungu akubariki
 
Kwanza nina tatizo lankuwashwa mwili mzima na natoka vipele vidogovidog hasa pale ninapotoka kuoga je tiba ni ipi na lingine kuhusu koo yaan nikimeza chakula nasikia kitu kinapanda na kushuka je nini shida naombeni msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
je koo linauma au kusikia maumivu maana mama yangu amexperened on this issue
 
Back
Top Bottom