Na je tatizo la kuwashwa mwili mzima na kutoka na vipele kama vya joto lakini sio vya joto hapo tiba yake ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsantekama tatizo ni ngozi ukioga, utakua na aleji na sabuni unayotumia
all in all nenda kamwone dk aliekaribu nawe kwa maelezo zaid dorin
Sawapole sana DORINI kwa tatizo lako ,hakika utapona tu usiwaze sana sawa jaribu kwenda iz clinic za wataalamu wa magonjwa ya ngozi pia.ok
Kanunue dawa moja inaitwa SK Derm tumia mara mbili kwa siku (kila baada ya masaa 12) baada ya kuoga kwa muda wa wiki moja then leta mrejesho. AsanteWalipima damu
Choo
Mkojo nikakutwa damu haina shid yoyote isipokuwa ilipungua tu ilikuwa 11 na kuhus allergy sikupimwa kwa sabb walisema inagarama kubwa sana hivyo nikapewa dawa za maumivu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Una sumu/ toxic nyingi mwilini, unatakiwa ufanyiwe chelation. Hizo toxic ndo huleta allergy na matatizo mengineKwanza nina tatizo lankuwashwa mwili mzima na natoka vipele vidogovidog hasa pale ninapotoka kuoga je tiba ni ipi na lingine kuhusu koo yaan nikimeza chakula nasikia kitu kinapanda na kushuka je nini shida naombeni msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wa kijinga sanaKAMA una imani ya kidini sali sana kwa hilo tatizo la kooni pia unaweza kuwaona madaktari,pia hilo la vijipele nenda kawaone madaktari watakusaidia,pole sana.
Hujui kitu wewe, nyamaza. Ahsante kwa kumshaurikatika upande wa koo, utakua una kiungulia ambacho kimekuwa kikubwa ambacho kimeleteleza mchubuko ambao unaumia ukimeza kitu,
katika upande wa kuwashwa jaribu kubadili sabuni unayotumia na mafuta pia sawa dorin
Asante sanaKanunue dawa moja inaitwa SK Derm tumia mara mbili kwa siku (kila baada ya masaa 12) baada ya kuoga kwa muda wa wiki moja then leta mrejesho. Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nijupe kazi mwenyewe ujifunze afya.Chelation ni nn?/na matatizo mengine ni yapi?
Usije tumia dawa za hospitali zinaongeza matatizo.Asante sana
Usije tumia dawa za hospitali zinaongeza matatizo.
Hiyo yote ni kitu kimoja kinachosababisha uchafu/sumu/chemical mwilini. Na sio hivyo tu bali kujamba kwingi, kubeua, kupata joto bila sababu, kupenda vitu vya sukari nk ndo dalili hizo.Na vipi kuhusu tatizo la koo maan kuna kitu kinapanda na kushuka alf kuna muda kinatulia kwenye koo alf nikila chakula kuna muda inakuwa ngumu kumeza mpk nishushie na maji na sometimes nahisi kama mwili una joto alaf joto bdae linapoa
Sawa ahsante mungu akubarikiHiyo yote ni kitu kimoja kinachosababisha uchafu/sumu/chemical mwilini. Na sio hivyo tu bali kujamba kwingi, kubeua, kupata joto bila sababu, kupenda vitu vya sukari nk ndo dalili hizo.
Safisha mwili then kula madini, pona kabisa
je koo linauma au kusikia maumivu maana mama yangu amexperened on this issueKwanza nina tatizo lankuwashwa mwili mzima na natoka vipele vidogovidog hasa pale ninapotoka kuoga je tiba ni ipi na lingine kuhusu koo yaan nikimeza chakula nasikia kitu kinapanda na kushuka je nini shida naombeni msaada
Sent using Jamii Forums mobile app