Habari naombwa kusaidiwa

katika upande wa koo, utakua una kiungulia ambacho kimekuwa kikubwa ambacho kimeleteleza mchubuko ambao unaumia ukimeza kitu,
katika upande wa kuwashwa jaribu kubadili sabuni unayotumia na mafuta pia sawa dorin
atakuwa na alej huyu ya ngozi
 
Wala haliumi kabisa ni kitu tu kinakereketa tu kinapanda na kushuka nikimeza mate
oky jarbu ushauri uliopewa
 
Na kuna watu wanasema cjui homa hapo inahusiana na nn kwenye koo?

no kama umefanya vipimo na wakakwambia hakuna kitu ... jaribu kwenda pengne kwa watumishi haswa wa kiroho pengine kuna jambo ktk ulimwengu wa kiroho.. japo kama msomi hutakiwi kufikia hatua ya kuamini vitu iv..
 
Ngoja tuone maana koo mpk linawaka moto
 
Ukitoka juani na kwenda kivulini ghafla unawashwa pia?
 
Nilikua na tatizo kama hilo kuwashwa mwili baada ya kutoka kuoga
Nikaenda kupata tiba nikapewa dawa za kumeza zinaitwa Loratadine kesho yake nilisahau kama naumwa!
 
Kama hujanielewa basi itakua huwa haikutokei ...

Nilimaanisha hivi;
Ukiwa unatembea njiani(juani) halafu ukaenda kivulini, mwili unakuwasha pia?
Ndio au muda mwengine nilishavua nguo,na nikitoka kuoga
 
Hiyo yote ni kitu kimoja kinachosababisha uchafu/sumu/chemical mwilini. Na sio hivyo tu bali kujamba kwingi, kubeua, kupata joto bila sababu, kupenda vitu vya sukari nk ndo dalili hizo.
Safisha mwili then kula madini, pona kabisa
Mwili unasafishwaje? Ahaha...hiyo ni Technolojia ya wapi? Inapatikana wapi?
 
Ndio au muda mwengine nilishavua nguo,na nikitoka kuoga
Asante nitafanyia kazi
Natumaini hiyo Loratadine itafanya kazi.

Niliwahi kwenda sehemu tulikua kikundi na wengi walipata hilo tatizo.Ilikua ni kama wewe wakishaoga mwili unawasha au wakihama juani kwenda kivulini au kivulini kwenda juani.Kuna bwana bado nna mawasiliano yake nitamwuliza alitumia dawa gani.Nikipata jibu nitakuwekea hapa pia.
 
Au muda mwengine kabla ya kuoga
 
Ishu ni simple tu

Tumia taulo laini sana kujisugulia mwilini au kama haiwezekani tumia mikono tu..

Then tumia taulo mwilini kwa njia kama ya kumbembeleza..yaani taratibu wakati unajifuta
 
Ishu ni simple tu

Tumia taulo laini sana kujisugulia mwilini au kama haiwezekani tumia mikono tu..

Then tumia taulo mwilini kwa njia kama ya kumbembeleza..yaani taratibu wakati unajifuta
Nitafanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…