Habari ndugu na jamaa wa jamii forums

Habari ndugu na jamaa wa jamii forums

Davidsdiason

Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
19
Reaction score
13
Habari ndugu na jamaa wa jamii forums mimi mwanachama mpya naomba kukalibishwa
Shughuli zangu ni fundi umeme wa majumbani na viwandani
Na tunafika popote kama hutatuhitaji hasa kanda ya ziwa kwa maana ya Bukoba, Mwanza,Geita, Shinyanga na Mara karibu sana pm kwa maswalaya yeyote kuhusiana na umeme .
 
Mkuu umesomea hiyo kazi naona kidogo lugha inakupiga changa isije ikawa na kazi inakupinga chenga
 
Pw karibu sana mkuu
Habari ndugu na jamaa wa jamii forums mimi mwanachama mpya naomba kukalibishwa
Shughuli zangu ni fundi umeme wa majumbani na viwandani
Na tunafika popote kama hutatuhitaji hasa kanda ya ziwa kwa maana ya Bukoba, Mwanza,Geita, Shinyanga na Mara karibu sana pm kwa maswalaya yeyote kuhusiana na umeme .
 
Asante kwa ushirika wenu japo nafahamu mwanzo ni Mugumu ila nitarekebisha kasoro zote
 
Back
Top Bottom