Habari njema: " Bunge Live" limerudi!

Hawa akina Halima Mdee ni tofauti na wale akina Lijualikali!
 
Sioni maana ya live tena, Mbunge wa ccm Mbogwe wiki jana wakati ufunguzi kituo cha afya Masumbwe mbele ya Rais ,C.man aliangua kilio Wabunge wa ccm " Tunabanwa sana....ukweli hautakiwi...japo wengine tunakwenda kanisani....mfano hata hapa mradi huu mengine yamefanyika mengi kwa dharula hata jana usiku kufuatia ujio wako.....tupo wabunge 160... tunania ya dhati kukusaidia lakini tunabanwa....."
 
Hapo hakuna bunge bali ni genge la kusifu na kuabudu mfalme J
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…