Habari njema: " Bunge Live" limerudi!

Kwa wanamapambio sawa,sawa kabisa,ila wengine sijui
 
Budget imeruhusu sio this time?
 
Bunge live linafanya tushindwe kufanya Kazi Mchana, na tunahitaji kufanya Kazi.
 
Kama ambavyo sina mpango tena wa kupanga foleni kwenda kupiga kura, ndivyo ambavyo sina mpango wa kuangalia kiitwacho bungelive la sasa.
 

Watu wengi wameacha kuangalia taarifa ya habari, je itakuwa Bunge?
 
Umesema bunge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe kuna bunge
 
Acha vikao vya chama viendelee kurushwa na Tv ya chama
 
Baraza la CCM
 
Hivi channel ten iko kwenye decoder gani sijawahi kuiona πŸ˜³πŸ˜‚πŸ˜³πŸ˜‚πŸ˜³πŸ˜‚
 
Kwahiyo unatuaminisha kuwa hilo ni bunge lenye hoja zenye mashiko kama lilivyo bunge lililoishia 2020?
 
Sema kamati kuu ya CCM iko laivu.tz hamna bunge.
 
Litaachaje kurudi na waliorudi ni wale wanaowashwa sana nyuma, wazee wa ndioooo mlengo mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…