johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Ndio ukasome sasa ๐ผdiploma wanasoma dull students kama wewe. Au Nguin wanasoma wat
Jo uko kama kuku wa kisasa, kuishi maisha ya kuajiriwa kumekudumaza akili ndiyo maana kila siku unanipakazia cheti feki,mimi sijawahi kufanya kazi serikalini wala kwenye mashirika ya umma hivyo sikuhitaji kufoji vyeti. Vyeti vyangu ni halisi na elimu yangu imeniwezesha kumudu maisha yangu hadi sasa bila kuajiriwa na badala yake nimeajiri watu na kuchangia pato la Taifa. Aliyekuwa na vyeti feki ni yule shujaa wako uchwara Magufuli.Ulitaka ukafundishe wewe huku ulitimuliwa kwa Cheti Feki ๐ผ
Dull students walikuwa wanapelekwa Cuba, Russia, Ukraine na vinchi vya kipuuzi kama hivyoNdio ukasome sasa ๐ผ
Wewe nenda Kibaha Bavicha University ๐Dull students walikuwa wanapelekwa Cuba, Russia, Ukraine na vinchi vya kipuuzi kama hivyo
Hilo Shamba RC hatalichoma moto?Katibu mkuu wa CHADEMA mh Mnyika amesema Chama chake kimeamua Kufanya Uwekezaji mkubwa kwenye Shamba lake la Kibaha
Uwekezaji huo utahusisha Miradi mbalimbali ya Huduma na Uzalishaji
Aidha Chuo Kikuu Cha Bavicha kitajengwa shambani hapo
Source: Clouds TV
Na wale cream walipelekwa wapi?Dull students walikuwa wanapelekwa Cuba, Russia, Ukraine na vinchi vya kipuuzi kama hivyo