Habari Njema: CHADEMA kufanya uwekezaji mkubwa kwenye shamba lake la Kibaha ikiwemo Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Bavicha na Miradi ya Uzalishaji Mali

Habari Njema: CHADEMA kufanya uwekezaji mkubwa kwenye shamba lake la Kibaha ikiwemo Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Bavicha na Miradi ya Uzalishaji Mali

Ulitaka ukafundishe wewe huku ulitimuliwa kwa Cheti Feki 🐼
Jo uko kama kuku wa kisasa, kuishi maisha ya kuajiriwa kumekudumaza akili ndiyo maana kila siku unanipakazia cheti feki,mimi sijawahi kufanya kazi serikalini wala kwenye mashirika ya umma hivyo sikuhitaji kufoji vyeti. Vyeti vyangu ni halisi na elimu yangu imeniwezesha kumudu maisha yangu hadi sasa bila kuajiriwa na badala yake nimeajiri watu na kuchangia pato la Taifa. Aliyekuwa na vyeti feki ni yule shujaa wako uchwara Magufuli.
 
Katibu mkuu wa CHADEMA mh Mnyika amesema Chama chake kimeamua Kufanya Uwekezaji mkubwa kwenye Shamba lake la Kibaha

Uwekezaji huo utahusisha Miradi mbalimbali ya Huduma na Uzalishaji

Aidha Chuo Kikuu Cha Bavicha kitajengwa shambani hapo

Source: Clouds TV
Hilo Shamba RC hatalichoma moto?
 
Back
Top Bottom