HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Tuwasiliane,naomba namba!Habari za Leo wanajamvi ni hivi ni miaka mitatu sasa uncle wangu alikuwa anahangaika kutengeneza Dawa ya mitishamba itakayo tibu Cancer na ukimwi hatimae majibu yamepatikana baada ya kuwatibu watu wa tatu mmoja Wa cancer wawili Wa ukimwi na majibu yameleta asilimia 100% jambo lililo jema nikuwa katika hao wenye ngoma kunakigogo mmoja alipata hiyo dawa amepona saivi anamsaidia uncle hiyo Dawa ikapimwe na mkemia then aitangaze japo anatoa tiba lakini hajatangaza hivyo watu hutibiwa kimya kimya siku serikali wakiithibitisha kuwa haina shida nitawapa address ya huko ila amini usiamini ngoma inatibika nimeyaona
Inawezekana ikawa kuna ukweli au laa....Habari za Leo wanajamvi ni hivi ni miaka mitatu sasa uncle wangu alikuwa anahangaika kutengeneza Dawa ya mitishamba itakayo tibu Cancer na ukimwi hatimae majibu yamepatikana baada ya kuwatibu watu wa tatu mmoja Wa cancer wawili Wa ukimwi na majibu yameleta asilimia 100% jambo lililo jema nikuwa katika hao wenye ngoma kunakigogo mmoja alipata hiyo dawa amepona saivi anamsaidia uncle hiyo Dawa ikapimwe na mkemia then aitangaze japo anatoa tiba lakini hajatangaza hivyo watu hutibiwa kimya kimya siku serikali wakiithibitisha kuwa haina shida nitawapa address ya huko ila amini usiamini ngoma inatibika nimeyaona
Good point aiseee[emoji17] ACHA KULISHA WATU UPEPO!
Wapo jamaa wa tiba mbadala wanazo dawa za kupambana na cell za ukimwi zinazoshambulia white blood cell zinazoupa mwili kinga dhidi ya magonjwa.
Lakini hawawezi kuruhusiwa kutangaza hata kama serikali na wataalam pamoja na mkemia kathibitisha.
Dawa ya ukimwi haiwezi kugunduliwa Tanzania au Afrika, wenye dhamana na ugonjwa huo hawawezi kukubali rahisi hivyo utangaze dawa.
Tiba mbadala mkuu ina mchango mkubwa sana katika kupunguza makali ya HIV...Wewe ugonjwa unamilikiwa na watu huo au unataka kufanywa kama Dr sebi na wengineo, au unadhani dawa hakuna!???
uje pm kufanya ninikwa hiyo tuje pm utupeleke tukapigwe
Kama imetibu watu na wamepona mkemia ataleta miujiza gani.Weka na picha mkuu,hasa ya kirus cha ukimwi.