HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Habari za Leo wanajamvi ni hivi ni miaka mitatu sasa uncle wangu alikuwa anahangaika kutengeneza Dawa ya mitishamba itakayo tibu Cancer na ukimwi hatimae majibu yamepatikana baada ya kuwatibu watu wa tatu mmoja Wa cancer wawili Wa ukimwi na majibu yameleta asilimia 100% jambo lililo jema nikuwa katika hao wenye ngoma kunakigogo mmoja alipata hiyo dawa amepona saivi anamsaidia uncle hiyo Dawa ikapimwe na mkemia then aitangaze japo anatoa tiba lakini hajatangaza hivyo watu hutibiwa kimya kimya siku serikali wakiithibitisha kuwa haina shida nitawapa address ya huko ila amini usiamini ngoma inatibika nimeyaona