Nakupa pole sana, sana, sana upo gizani na yawezekana upo ndani ya chupa na umewekewa mfuniko so unaona kila kitu ila usikii kinachozungumzwa.
Pole sana kijaba wangu, yawezekana akili yako imeishia hapo, (no research no right to write) hujui wewe na hujaelewa nilichoandika na hata ukinukuu hujaelewa na hutokuja kuelewa hebu baki hapo hapo.
Kwa kukusaidia kama upo Dar nenda pale Magomeni usalama uoande wa kushoto wa kituo cha daladala, ukifika hapo pembeni kuna ofisi ya waganga wa tiba za asili, kaongee na wenzako kuhusu hiyo dawa yako ya ukimwi.