Habari njema itawazukia muda mfu ujao kuhusu tiba ya UKIMWI

Habari za Leo wanajamvi ni hivi ni miaka mitatu sasa uncle wangu alikuwa anahangaika kutengeneza Dawa ya mitishamba itakayo tibu Cancer na ukimwi hatimae majibu yamepatikana baada ya kuwatibu watu wa tatu mmoja Wa cancer wawili Wa ukimwi na majibu yameleta asilimia 100% jambo lililo jema nikuwa katika hao wenye ngoma kunakigogo mmoja alipata hiyo dawa amepona saivi anamsaidia uncle hiyo Dawa ikapimwe na mkemia then aitangaze japo anatoa tiba lakini hajatangaza hivyo watu hutibiwa kimya kimya siku serikali wakiithibitisha kuwa haina shida nitawapa address ya huko ila amini usiamini ngoma inatibika nimeyaona
Wazungu watu wabaya sana,walitengeneza ukimwi na tiba yake then,hiyo tiba wakaificha sasa ni jambo jema kama Uncle yetu kafanikisha jambo hilo ila,awe makini kwa kuwa kuna watu wanaweza kuitumia dawa yake kutengenezea formula then wao ndyo watakaoenda mbele za watu na kujinadi kuwa wao ndyo wamegundua dawa hiyo!
 
Jiambukize makusudi on Tv halafu kunywa then tupe majibu on Tv pia kuwa uliupata na umepona
 
[emoji17] ACHA KULISHA WATU UPEPO!

Wapo jamaa wa tiba mbadala wanazo dawa za kupambana na cell za ukimwi zinazoshambulia white blood cell zinazoupa mwili kinga dhidi ya magonjwa.

Lakini hawawezi kuruhusiwa kutangaza hata kama serikali na wataalam pamoja na mkemia kathibitisha.

Dawa ya ukimwi haiwezi kugunduliwa Tanzania au Afrika, wenye dhamana na ugonjwa huo hawawezi kukubali rahisi hivyo utangaze dawa.
Mkuu Dawa ya Ukimwi ipo na kuna watu wametibiwa na kupona kabisa ila watengenezaji wa hizi dawa hawana Mbwembwe wala kutaka kujitangaza tangaza kwa watu
 
HUJAELEWA NILICHOANDIKA AU NA WEWE NI BWANA MGANGA WA JADI?

Nanukuu

'DAWA YA UKIMWI HAIWEZI GUNDULIWA TZ WALA AFRICA "

Haya ni mawazo yako mgando lakini kwa wanaojua haya hawezi kusema hivi kwasababu tayari wameshashuhudia watu wakipona na kuingia kwenye ndoa kama hautaki kuamini basi kaa na imani yako na mawazo yako

Lakini inaonyesha bado una elements za utumwa wa kifikra
 
Nakupa pole sana, sana, sana upo gizani na yawezekana upo ndani ya chupa na umewekewa mfuniko so unaona kila kitu ila usikii kinachozungumzwa.

Pole sana kijaba wangu, yawezekana akili yako imeishia hapo, (no research no right to write) hujui wewe na hujaelewa nilichoandika na hata ukinukuu hujaelewa na hutokuja kuelewa hebu baki hapo hapo.

Kwa kukusaidia kama upo Dar nenda pale Magomeni usalama uoande wa kushoto wa kituo cha daladala, ukifika hapo pembeni kuna ofisi ya waganga wa tiba za asili, kaongee na wenzako kuhusu hiyo dawa yako ya ukimwi.

Haya ni mawazo yako mgando lakini kwa wanaojua haya hawezi kusema hivi kwasababu tayari wameshashuhudia watu wakipona na kuingia kwenye ndoa kama hautaki kuamini basi kaa na imani yako na mawazo yako
Lakini inaonyesha bado una elements za utumwa wa kifikra
 
Habari za Leo wanajamvi ni hivi ni miaka mitatu sasa uncle wangu alikuwa anahangaika kutengeneza Dawa ya mitishamba itakayo tibu Cancer na ukimwi hatimae majibu yamepatikana baada ya kuwatibu watu wa tatu mmoja Wa cancer wawili Wa ukimwi na majibu yameleta asilimia 100% jambo lililo jema nikuwa katika hao wenye ngoma kunakigogo mmoja alipata hiyo dawa amepona saivi anamsaidia uncle hiyo Dawa ikapimwe na mkemia then aitangaze japo anatoa tiba lakini hajatangaza hivyo watu hutibiwa kimya kimya siku serikali wakiithibitisha kuwa haina shida nitawapa address ya huko ila amini usiamini ngoma inatibika nimeyaona
Aisee! mmehamia kwenye style hii siku hizi!? watapigwa watu ss hivi
 
Nakupa pole sana, sana, sana upo gizani na yawezekana upo ndani ya chupa na umewekewa mfuniko so unaona kila kitu ila usikii kinachozungumzwa.

Pole sana kijaba wangu, yawezekana akili yako imeishia hapo, (no research no right to write) hujui wewe na hujaelewa nilichoandika na hata ukinukuu hujaelewa na hutokuja kuelewa hebu baki hapo hapo.

Kwa kukusaidia kama upo Dar nenda pale Magomeni usalama uoande wa kushoto wa kituo cha daladala, ukifika hapo pembeni kuna ofisi ya waganga wa tiba za asili, kaongee na wenzako kuhusu hiyo dawa yako ya ukimwi.
we ndio mwenye kichwa kigumu kuelewa Mimi waganga kwangu ni Washirikina sijawai kukanyaga kwao wala siwezi kamwe kwenda kwa watu wa sampuli hii I'm strongly believe in the oneness of Allah Almighty ( الموحد ) utumbo unaandika unanitia kinyaa tu kusoma
 
Nanukuu

'DAWA YA UKIMWI HAIWEZI GUNDULIWA TZ WALA AFRICA "

Haya ni mawazo yako mgando lakini kwa wanaojua haya hawezi kusema hivi kwasababu tayari wameshashuhudia watu wakipona na kuingia kwenye ndoa kama hautaki kuamini basi kaa na imani yako na mawazo yako

Lakini inaonyesha bado una elements za utumwa wa kifikra
Kwa nini isigundulike Africa?
 
Binafsi nimeona video za Dr. Sebi Youtube. Yeye alikuwa na ukimwi na amejitibu kwa kutumia vyakula tu. Kuna watu wengi wamejaribu na wameona matokeo. Wapo hata watu maarufu. Jaribu kumtafuta ili upate elimu zaidi. Binafsi siwezi kuthibitisha kama ni kweli au ni uongo, ila najua ukiwa na hilo gonjwa utajaribu kuufanyia kazi ushauri wa aina yoyote unaopewa. Inawezekana ni kweli kuna tiba. Ukitafuta makala za bbc.com kuna inayoelezea vidonge wanameza watu halafu wanafanya na hawapati ukimwi. Serikali ya Chile imetoa ruzuku kwenye hizo dawa. Ukimwi unatibika, ila wenye mradi hawatoi dawa ovyoovyo, mpaka utoe dau la maana ndo wanakutibu.
 
Ngoja aje mana Africa tunaonekana wazito kwenye IQ.mbona magari yanatengenezwa ulaya ila mafundi wapo ata uku?
Jamaa Ana mawazo mgando alafu anajiona bonge la great thinker wazungu walichotuzidi ni fursa tu wao wameitumia fursa ya science & tech mapema kuliko sisi na wameinvest sana ktk scientific research basi

Lakini tupo na ndugu zetu ambao wamenda kusimea udaktari nchi mbali mbali za Ulaya kama Russia, German Scandinavian countries na hata USA na wanakwambia wanawakimbiza vibaya hao ngozi nyeupe Kuwa Gifted au Talented au High IQ ngozi hapo haiusiki lakini naadhi wa watu weusi wameshakuwa na mawazo mgando kuwa mwafrika huwezi mzidi mzungu kwa chochote

Mbona maprofessor wakubwa weusi wanafundisha Harvard university Washington university je huko wanafundisha weusi wenzao au mpaka hao wazungu?
 
Ndo nilitaka aje anijibu Africa tuna watu waajabu sana.Tuna ma doctor wengi sana abroad ajui tu labda kwa IQ yake wamuelekeze wa Botswana tu.mana wa mbali ndai overload mind yake.
 
Back
Top Bottom