Habari njema itawazukia muda mfu ujao kuhusu tiba ya UKIMWI

Ndo nilitaka aje anijibu Africa tuna watu waajabu sana.Tuna ma doctor wengi sana abroad ajui tu labda kwa IQ yake wamuelekeze wa Botswana tu.mana wa mbali ndai overload mind yake.
Botswana kweli kuna wabongo wengi sana wanapiga ishu ya Udaktari kikubwa wameona Maslahi ya Botwana yako juu sana kuliko bongo
 
Jidunge wewe damu yenye ukimwi halafu uanze tiba. Wewe uwe mfano ili tukufuatilie wewe. Sawa????
 
Yaani akili za kufunzwa na kujiongoza utaziona kwa majibu ya mbuzi kama wewe.

USISOME TENA NILICHOANDIKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…