Mtapenda
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 1,115
- 2,063
AmbilikileMwasapile jina la kwanza nani vile?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmbilikileMwasapile jina la kwanza nani vile?
Botswana kweli kuna wabongo wengi sana wanapiga ishu ya Udaktari kikubwa wameona Maslahi ya Botwana yako juu sana kuliko bongoNdo nilitaka aje anijibu Africa tuna watu waajabu sana.Tuna ma doctor wengi sana abroad ajui tu labda kwa IQ yake wamuelekeze wa Botswana tu.mana wa mbali ndai overload mind yake.
Jidunge wewe damu yenye ukimwi halafu uanze tiba. Wewe uwe mfano ili tukufuatilie wewe. Sawa????Habari za Leo wanajamvi ni hivi ni miaka mitatu sasa uncle wangu alikuwa anahangaika kutengeneza Dawa ya mitishamba itakayo tibu Cancer na ukimwi hatimae majibu yamepatikana baada ya kuwatibu watu wa tatu mmoja Wa cancer wawili Wa ukimwi na majibu yameleta asilimia 100% jambo lililo jema nikuwa katika hao wenye ngoma kunakigogo mmoja alipata hiyo dawa amepona saivi anamsaidia uncle hiyo Dawa ikapimwe na mkemia then aitangaze japo anatoa tiba lakini hajatangaza hivyo watu hutibiwa kimya kimya siku serikali wakiithibitisha kuwa haina shida nitawapa address ya huko ila amini usiamini ngoma inatibika nimeyaona
Yaani akili za kufunzwa na kujiongoza utaziona kwa majibu ya mbuzi kama wewe.we ndio mwenye kichwa kigumu kuelewa Mimi waganga kwangu ni Washirikina sijawai kukanyaga kwao wala siwezi kamwe kwenda kwa watu wa sampuli hii I'm strongly believe in the oneness of Allah Almighty ( الموحد ) utumbo unaandika unanitia kinyaa tu kusoma
FashilaYaani akili za kufunzwa na kujiongoza utaziona kwa majibu ya mbuzi kama wewe.
USISOME TENA NILICHOANDIKA.
Yamao mwatengo mboshiie 😢Fashila