Habari njema kutoka Airtel,kuanzia tarehe 10 Feb kifurushi cha 400MB kitakuwa 500MB kwa sh 3500 tu kitakachotumia kwa siku 10.Furahia kuperuzi na Airtel.
Mind you huduma hii ilikuwa inatolewa kwa Tsh. 2500/- kwa 400MB kwa mwezi.
Hebu airtel niambieni hizi zenu zinakuwaje habari njema. #boring ... Heri hata msingesema.
Kaka noahism mimi hutumia bundle hiyo kwenye simu yangu.
Huwa pia naitumia simu yangu kama modem hivyo kwangu ni pigo kubwa sanakizingatia sina line nyingine zaidi ya airtel ndugu... #nimesikitishwa .
Yani huu ni wizi wa mchana...halafu tena wanakutangazia.
Mimi nilidhani kadri tunavyoendelea ndivyo huduma hizi za internet zinakua rahisi kumbe sivyo...daah!