Habari Njema kwa ajili ya Betri ya Gari yako.

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hallo Wana-Jf.

Natumaini kila Mtu anajua Umuhimu wa Betri ya Gari yake. Hasa pale unapotaka kuanza Safar then unapiga "Starter" kisha Gari inakataa kuwaka kisa, betri iko Down au Imekufa Kabisa.

Nina taarifa nzuri kwako kwa wewe ambaye Unanunua Betri zaidi ya Bei ntakayokupa waweza wasiliana nami na kujipatia Betri yenye Ubora kwa Bei isiyo ya unyang'anyi(Bei Poa).

Popote pale ulipo Tanzania ukiwasiliana na mimi, Basi ntakupatia Betri ya Dry-Cell(JAPAN TECHNOLOGY)yenye Jina kwenye Ushindani wa Kibiashara na inayodumu Maradufu.

»N40 inapatikana kwa Tsh=160,000

»N50 inapatikana kwa Tsh=190,000

Nyinginezo ukini-inbox tutajuzana. Au tuma sms neno "CAR-BATTERY"

"Business Close"

Sorry,

Nimebadilisha Biashara.
 
0715240140

Which brand?
 
nimenunua moja n50 kwa 135 elfu ipo powa sana
 
Biashara za ujanjaujanja kuwa muwazi pia jibu maswali/hoja ili members wajiridhishe na huduma yako.
 
Back
Top Bottom