HABARI NJEMA KWA AMBAO KUFAULU KIDATO CHA NNE NA SITA soma hapa.

WaituWaitu

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
41
Reaction score
1
Mimi mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dodoma na tangu nianze masomo nilikuwa nawaza namna ya kuwasaidia vijana ambao hawakufanikiwa kuendea mbele na ambao hawajui wafanye wafanye nini ili waweze kutoka kimaisha na niliweza kupata jinsi gani ya kuwasaidia, hivyo kama wewe ni mmoja kati watu ambao hawana dira sasa ni mda wa kufanikiwa nipigie kiungwana kabisa kupitia 0765778664 nitakusaidia na kama una ndugu, rafiki au jirani mwenye hali kama hiyo mpe taarifa apate kuwasiliana na mimi haraka iwezekanavyo, pia unaweza kuwasiliana nami kupitia email adress, cethdominick@gmail.com
 
weka vizuri heading yako!
 
Hii ni wonderful enough we mwenyewe unasaidiwa alf unataka kusaidia ha ha ha ha cdhan kama jamii forum kuna hao watu kapost hiyo ishu facebook!
 
Mkuu mbona unafichaficha mambo kanakwamba unakojoa barabarani?weka mambo hadhalani kama ni deal au namna gani!
 
Hii ni wonderful enough we mwenyewe unasaidiwa alf unataka kusaidia ha ha ha ha cdhan kama jamii forum kuna hao watu kapost hiyo ishu facebook!

tatizo la watanzania walio wengi hawapendi wenzao wafanikiwe wakishatoka wao hawafirii kuwasaidia wenzao walioko nyuma wanafikiria kuibia serikali na kuvuta vitambi, anasa kwao ndo kila kitu, je nchi itaendelea lini?
 
Chuo cha kata udom

nani mkali, aliyesoma udsm lakini mwisho akawa gpa ya 2 huku yule ya udom 4, kwanza hiki ni chuo chenye umri wa miaka 6 na udsm >50 lakini kwa sasa mtoto (udom) anamzidi ubora baba (udsm)
 
we lazima utakuwa first year na unatafuta bwana...
Tushaiona namba yako
 
nani mkali, aliyesoma udsm lakini mwisho akawa gpa ya 2 huku yule ya udom 4, kwanza hiki ni chuo chenye umri wa miaka 6 na udsm >50 lakini kwa sasa mtoto (udom) anamzidi ubora baba (udsm)

Mbona nyie watoto wa UDOM mnapenda sana kujifananisha na UDSM? Hayo mambo ya GPA yanatoka wapi? Soma ukakomboe ndugu zako kijijini!!
 
Mbona irrelevant kabisa?
  • Ni Tangazo la ajira?
  • Kufanikiwa kuwa UDOM mwaka wa kwanza sio kigezo cha kuwaona wenzako kuwa hawajui wafanye wafanye nini ili waweze kutoka kimaisha
  • Nakushauri usome kuliko kutafuta ni jinsi gani ya kuwasaidia, hivyo kama vile wao ni kati watu ambao hawana dira ya maisha
  • Wako wa darasa la VII hata Form IV wametoka vizuri kimaisha kwani wamejiajiri kuliko wewe unaetegemea baada ya miaka 3 kuja kuajiriwa ( siku hizi ajira ni kichwa chako)
Dogo bado una safari ndefu na si vyema ukaleta hoja JF na kuifichaficha si mahali pake PIGA KITABU
 
Ndo maana serikali ikichelewa kuwaajiri mnaanza kulaumu kwa sababu hamna kingine cha kufanya mnategemea ajira pekee
 
Mbona irrelevant kabisa?
  • Ni Tangazo la ajira?
  • Kufanikiwa kuwa UDOM mwaka wa kwanza sio kigezo cha kuwaona wenzako kuwa hawajui wafanye wafanye nini ili waweze kutoka kimaisha
  • Nakushauri usome kuliko kutafuta ni jinsi gani ya kuwasaidia, hivyo kama vile wao ni kati watu ambao hawana dira ya maisha
  • Wako wa darasa la VII hata Form IV wametoka vizuri kimaisha kwani wamejiajiri kuliko wewe unaetegemea baada ya miaka 3 kuja kuajiriwa ( siku hizi ajira ni kichwa ch ndo maana serikali ikichelewa kuwaajiri mnalaumu kwa sababu hamna kingine cha kufanya zaidi ya ajira
 
Mbona nyie watoto wa UDOM mnapenda sana kujifananisha na UDSM? Hayo mambo ya GPA yanatoka wapi? Soma ukakomboe ndugu zako kijijini!!

mimi ninasoma kuikomboa jamii lakini wewe unawaza kupata pesa ukapata mademu wengi hivyo kuwa superstar wa ngono, je jamii itafaidikaje na wewe?
 
Mbona irrelevant kabisa?
  • Ni Tangazo la ajira?
  • Kufanikiwa kuwa UDOM mwaka wa kwanza sio kigezo cha kuwaona wenzako kuwa hawajui wafanye wafanye nini ili waweze kutoka kimaisha
  • Nakushauri usome kuliko kutafuta ni jinsi gani ya kuwasaidia, hivyo kama vile wao ni kati watu ambao hawana dira ya maisha
  • Wako wa darasa la VII hata Form IV wametoka vizuri kimaisha kwani wamejiajiri kuliko wewe unaetegemea baada ya miaka 3 kuja kuajiriwa ( siku hizi ajira ni kichwa chako)
Dogo bado una safari ndefu na si vyema ukaleta hoja JF na kuifichaficha si mahali pake PIGA KITABU
Well said mkuu!
 
Mkuu unaweza kuweka wazi namna unakavyowasaidia hao wenzako?
 
nimeto mawasiliano zaidi waweza kunitafuta
Mkuu weka mambo hadharani,sina shaka kwa sasa wewe ni mtu mzima na msomi unayeweza kujenga hoja!naamini hicho chuo kikuu cha kata teyari kimekujengea uwezo mkubwa wa kujenga hoja!
 
Back
Top Bottom