Habari njema kwa Diaspora wa Tanzania, Wale ambao hawajajilipua, kuwekewa utaratibu, kupiga kura-Waziri Mkuu

Jaribu kuwa mkweli uwe huru. Unajua wazi kilichotokea 2015, tallying center ya Chadema ilivyovamiwa na polisi, huku kina 'mwezi 1' waki-hack matokeo yaliyokuwa yanatumwa neck, na kuya-modify.
Mkuu HIKARI , one cannot steal from yourself, NEC ni mali yetu, kura ni zetu, tunaohesabu ni sisi, why hacking?. Matokeo ya mshindi kwenye African democracy is not the vote cast but the vote count!. 2025 kapige kura!.
P
 
NEC sio mali ya ccm. NEC inatakiwa iwe huru, isimamie chaguzi Kwa haki. Hali ni tofauti kabisa na inavyopaswa kuwa. . Mbo huja-comment kuhusu polisi kuvamia tallying center ya Chadema?
 
Back
Top Bottom