Habari njema kwa Graduate wote hapa Tanzania

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,290
Wakuu habari zenu!

Kutokana na tatizo la ajira kuwa sugu Tanzania na hata dunia nzima, na kupelekea vijana wengi kubaki mitaani na wasijue cha kufanya, na kwa sababu vijana hatukua na umoja wa magraduate Tanzania hivyo kuwa vigumu kusaidiwa mikopo na misaada kutoka kwa serikalini na hata mabenki, taarifa njema ni kwamba tumeanzisha umoja wetu unaojulikana kwa jina la TANZANIA GRADUATES ASSOCIATION.

Tunawaomba graduate tuungane kupitia umoja huu, kwani fursa zipo nyingi sana, tatizo ni sis tumezubaa, tunawakaribisha graduate wote kwenye kikao cha tatu kitafanyika ukumbi wa UBUNGO RIVER SIDE BAR- UBUNGO RIVER SIDE, tarehe 19/04/2014, saa 8 kamili mchana, siku ya jumamosi. kwa mawasiliano/maswali/ ufafanuzi: piga 0717 309119( afisa habari ).

NB: "wamikoani tunakuja, mda si mrefu"

UJUMBE:UMOJA NI NGUVU.

Asanteni
 
Wazo zuri sana Mkuu,
katika Mijadala yenu zingatieni sera ya kujiajiri(UJASILIAMALI) zaidi.
 
tunafurahi kwa wazo lenu zuri bt huku musoma msitusahau pia maana maisha haya hayanatofauti na ambao hawajasoma
 
Ni wazi zuri sana, tatizo ck maana hiyo ck mimi huwa nipo church wapendwa.
 
NI WAZO ZURI SANA, TATIZO CK MAANA HIYO CK MIMI HUWA NIPO CHURCH WAPENDWA. Jadilini mtatupa taarifa.
 

Nina masuali mkuu nataka nikuulize
1. Ikiwa MWANAFUNZI bado yuko chuo anaruhusika kujiunga na iyo association?
2. Ikiwa graduate ameshaajiriwa anaruhusika kujiunga na iyo association?
 

kwani dar sio mkoa?
 
ni wazi zuri sana, tatizo ck maana hiyo ck mimi huwa nipo church wapendwa.

chagua moja kwenda kanisani au kwenye mkutano.
Halafu wewe ni graduate wa chuo gani usiyeweza kuandika maneno yakanyooka. Ck ndo nini?
 
Good and kreative idea, unajua nilikaa nikajiuliza sana anaweza wakilisha vijana Graduate ni nani kama sio ss. Tafadhali wandugu huu ndo muda muafaka wa kuchangamkia fursa kupitia umoja huu. @currently Bsc Environment Studies Student.
 
Nina masuali mkuu nataka nikuulize
1. Ikiwa MWANAFUNZI bado yuko chuo anaruhusika kujiunga na iyo association?
2. Ikiwa graduate ameshaajiriwa anaruhusika kujiunga na iyo association?

Nina maswali pia mkuu
1. Unajua maana ya graduate?
2. Umeelewa hii ishu inahusu graduate wapi? (Wenye ajira au wasio na ajira?)
 
Asnteni waandaji wa hii association, mimi binafsi nimehamasika na nitahudhuria..
 
Nina maswali pia mkuu
1. Unajua maana ya graduate?
2. Umeelewa hii ishu inahusu graduate wapi? (Wenye ajira au wasio na ajira?)

Tafadhali mjibu maswali yake kiongozi. Uelewa tuna-tofautiana. Hayo maswali ni 'valid'. Ubishi hauna maana. Asanteni.
 
Mh hapa nakuwa mgumu sana kuamini kwamba hii taasisi iko kwa madhumuni mazuri kwasababu ikumbukwe HIGHER LEARNING STUDENTS SUPPORT FUND (HLSSF) walikuja hivi hivi kwa madhumuni wa kuwasaidia wanafunzi ambao walikuwa wamekosa mkopo kwenye bodi wakapiga pesa wakapotea. mimi sishawishiki kabisaaaaaaaaaaa:flypig:
 
Tanzania graduate association, inakupa taarifa ya kikao cha nne, kitakachofanyika siku ya jumamosi hii, tarehe 26/04/2014, saa 8:00 mchana, mahala: chuo kikuu cha dar es laam- madarasa ya semina karibu na nkhuruma hall mawasiliano:0717 309119. plz sambaza ujumbe kwa kila mtu. NB: PLZ NAKUOMBA USIKOSE KUJA KWA MANUFAA YAKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…