TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
Wakuu habari zenu!
Kutokana na tatizo la ajira kuwa sugu Tanzania na hata dunia nzima, na kupelekea vijana wengi kubaki mitaani na wasijue cha kufanya, na kwa sababu vijana hatukua na umoja wa magraduate Tanzania hivyo kuwa vigumu kusaidiwa mikopo na misaada kutoka kwa serikalini na hata mabenki, taarifa njema ni kwamba tumeanzisha umoja wetu unaojulikana kwa jina la TANZANIA GRADUATES ASSOCIATION.
Tunawaomba graduate tuungane kupitia umoja huu, kwani fursa zipo nyingi sana, tatizo ni sis tumezubaa, tunawakaribisha graduate wote kwenye kikao cha tatu kitafanyika ukumbi wa UBUNGO RIVER SIDE BAR- UBUNGO RIVER SIDE, tarehe 19/04/2014, saa 8 kamili mchana, siku ya jumamosi. kwa mawasiliano/maswali/ ufafanuzi: piga 0717 309119( afisa habari ).
NB: "wamikoani tunakuja, mda si mrefu"
UJUMBE:UMOJA NI NGUVU.
Asanteni