Habari njema kwa Graduate wote hapa Tanzania

Tupe Agenda tafazali hii itatusaidia kuweza kujiandaa kifikra vizuri kupambanua na kuchanganua kwa kina nn kifanyike kivipi,lini,kwa hiyo n.k kutokana na Agenda husika
 

​mkuu vipi darasa la saba....na form four leaver.....wanaruhusiwa....
 
wakuu heshima kwenu. tanzania graduate association, inapenda kuwataarifu graduate wote kuwa kutakuwa na kikao cha wadau wote kitakachofanyika jumamosi hii ya tarehe 26/04/2014, UKUMBI: chuo kikuu cha dar es salaam- madarasa ya semina karibu na nkhruma hall. MUDA: saa 8 mchana. MAWASILIANO: 0757 950376/0717 309119. ukipata ujumbe huu, mtaarifu na mwenzio. baadhi ya ajenda tutakazo zijadili ni, kuimarisha jumuiya yetu, jinsi ya kujiajiri wenyewe, juu ya kuwekeza kwenye kilimo na jinsi ya kupata ardhi,juu ya uwanzishwaji wa saccos yetu, juu ya katiba ya jumuiya yetu, uwandikishwaji wa wanachama wapya n.k. UJUMBE: GRADUATE TANZANIA HII HAKUNA WA KUTUOKOA NA JANGA LA AJIRA, ZAIDI YA SISI KUUNGANA KUPITIA JUMUIYA HII. KARIBUNI NYOTE.
 

Ni Dar tu au ina matawi mikoani?
 
.....viongozi wa UKAWA watakuwepo...? kama hawapo hakuna matumaini ya ajira tena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…