Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania graduate association, inakupa taarifa ya kikao cha nne, kitakachofanyika siku ya jumamosi hii, tarehe 26/04/2014, saa 8:00 mchana, mahala: chuo kikuu cha dar es laam- madarasa ya semina karibu na nkhuruma hall mawasiliano:0717 309119. plz sambaza ujumbe kwa kila mtu. NB: PLZ NAKUOMBA USIKOSE KUJA KWA MANUFAA YAKO.
wakuu heshima kwenu. tanzania graduate association, inapenda kuwataarifu graduate wote kuwa kutakuwa na kikao cha wadau wote kitakachofanyika jumamosi hii ya tarehe 26/04/2014, UKUMBI: chuo kikuu cha dar es salaam- madarasa ya semina karibu na nkhruma hall. MUDA: saa 8 mchana. MAWASILIANO: 0757 950376/0717 309119. ukipata ujumbe huu, matarifu na mwenzio. baadhi ya ajenda tutakazo zijadili ni, kuimarisha jumuiya yetu, jinsi ya kujiajiri wenyewe, juu ya kuwekeza kwenye kilimo na jinsi ya kupata ardhi,juu ya uwanzishwaji wa saccos yetu, juu ya katiba ya jumuiya yetu, uwandikishwaji wa wanachama wapya n.k. UJUMBE: GRADUATE TANZANIA HII HAKUNA WA KUTUOKOA NA JANGA LA AJIRA, ZAIDI YA SISI KUUNGANA KUPITIA JUMUIYA HII. KARIBUNI NYOTE.