Kwa hiyo hoja ya kukatika umeme ni maboresho sio ukame Tena?Miaka 60 tunaongea hoja dhaifu Kama hizi?Umeme kukatika sababu zimetolewa,hata ungekuwa wa nyukloa ungekatika Kama hakuna mabaoresho kwenye transmission lines na transformers
Akili za maccm hizi sijui mmeweka wapi akili zenuHawezi gundua mwingine afu mkagawana sawa ,tunachokipata ndio stahiki zetu'.
Ukitaka kikubwa weka teknolojia,staff na mtaji ugundue mwenyewe
Wewe mwenye akili unasubiria Nini kuingia kwenye uwekezaji?Akili za maccm hizi sijui mmeweka wapi akili zenu
Ukame ulileta mgao hata kabla ya mgao umeme ulikuwa unakatika katikaKwa hiyo hoja ya kukatika umeme ni maboresho sio ukame Tena?Miaka 60 tunaongea hoja dhaifu Kama hizi?
Uko sahihi wenzetu pesa wawekezazo sio.cha mtoto sisi hatuwezi pesa zinazohitajika mara ingine kwa utafiti tu zaweza kula bajeti ya miaka mitano ya serikali yoteHawezi gundua mwingine afu mkagawana sawa ,tunachokipata ndio stahiki zetu'.
Ukitaka kikubwa weka teknolojia,staff na mtaji ugundue mwenyewe
Conc:Kuna wizi mkubwa umefanywa kwenye shirika la Tanesco kwa muda mrefu.Kuna watu wamekuwa Marais wa Tanzania lakin wanawaza kuiba pesa ili ziwasaidie wajukuu.Juzi bilion 350 zimelipwa kampuni ya Symbion .Lakin ipo siku Mungu atawapa pigo kuu.Ukame ulileta mgao hata kabla ya mgao umeme ulikuwa unakatika katika
Sasa hii Ni kesi nyingine mkuu Ila hili swala wahusika wanatakiwa kujibia.Conc:Kuna wizi mkubwa umefanywa kwenye shirika la Tanesco kwa muda mrefu.Kuna watu wamekuwa Marais wa Tanzania lakin wanawaza kuiba pesa ili ziwasaidie wajukuu.Juzi bilion 350 zimelipwa kampuni ya Symbion .Lakin ipo siku Mungu atawapa pigo kuu.
Binafsi napendekeza Kama kampuni inakuja kufanya Utafiti Basi Serikali ikubali kuweka mtaji wake ili kitakachopatikana kiweze kugawiwa vizuri.Uko sahihi wenzetu pesa wawekezazo sio.cha mtoto sisi hatuwezi pesa zinazohitajika mara ingine kwa utafiti tu zaweza kula bajeti ya miaka mitano ya serikali yote
Na pia zaweza wekezwa hizo.pesa mwisho wa siku ukagunduo huo.mradi hauna maana yoyote pesa za wananchi zote zikaishia utafiti tu
Wazo zuriBinafsi napendekeza Kama kampuni inakuja kufanya Utafiti Basi Serikali ikubali kuweka mtaji wake ili kitakachopatikana kiweze kugawiwa vizuri.
Mtanzania wa kawaida hanufaiki kwa lolote hapoPoleni sana
Ngoja tuoneBinafsi napendekeza Kama kampuni inakuja kufanya Utafiti Basi Serikali ikubali kuweka mtaji wake ili kitakachopatikana kiweze kugawiwa vizuri.
Pesa hazigawiwi Bali hunufaika kwa njia ya Huduma mbalimba za jamii nk..Mtanzania wa kawaida hanufaiki kwa lolote hapo
Atabakia kusikia kwenye bomba tu kuhusu helium
Ova
Huduma zipi sasa kama hadi basic need kama Chakula,malazi,maji ni shida kwa karibu 3/4 ya WatanzaniaPesa hazigawiwi Bali hunufaika kwa njia ya Huduma mbalimba za jamii nk..
Tujilaumu sisi wenyewe hao viongozi ni sisi ndio tunawawekaKwa viongozi hawa itakuwa na Ntwara tu