Habari njema kwa wafugaji wa Kagera na mikoa jirani; Jipatie mbegu za Azolla kwa bei nafuu

Habari njema kwa wafugaji wa Kagera na mikoa jirani; Jipatie mbegu za Azolla kwa bei nafuu

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Habari waJF,

Kwa wale wafugaji wenzangu wa mkoa wa Kagera na mikoa jirani sasa unaweza kupata mbegu za Azolla zenye ubora unaohitajika kwa bei rafiki kabisa.

Tuwasiliane kupitia namba 0625951181

Faida za Azolla kwa kifupi ni;


1. Ni nyongeza ya chakula cha kuku na mifugo mingine
2. Ina virutubisho vingi kwa ajili ya mifugo
3. Inapunguza gharama za chakula cha mifugo.
4. Ni rahisi kulima na kutunza.

Chakula mifugo.JPG
 
Back
Top Bottom