Habari njema kwa wajasiriamali na wafugaji

Habari njema kwa wajasiriamali na wafugaji

babe S

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
3,879
Reaction score
20,858
Sudeki Hatchery ina waletea habari njema kwa wanaotaka kuwekeza kwenye ufugaji wa kuku.
Sudeki hatchery ni kampuni iliyosajiliwa na inafanya utotoleshaji wa kuku wa kienyeji aina bora ya Malay ambao asili yake ni Malaysia.
Kuku hawa wa kienyeji ni kuku ambao wakitunzwa vizuri wanauwezo wa kurefuka hadi urefu wa inchi 30 na kufikia uzito wa kilo 6 kwa jogoo na kilo 4 kwa mtetea. Ni kuku ambao unaweza ukawafuga kwa kuwaachia au kuwafungia ndani, wanataga na kulalia vizuri.

Faida
· Ni kuku wakubwa na wenye mvuto.
· Ni kuku ambao wanasifika kwa nyama nyingi na tamu.
· Kwa kuwa ni kuku ambao wana maumbo makubwa wakifikisha miezi sita wanakua tayari kwa kuliwa na pia kuanza kutaga.
· Mayai yao ni makubwa kuliko mayai ya kuku wa kienyeji wengine.

Tunapatikana Sakina Arusha
Namba za simu 0752037802, 0712526667, 0713078239.
Chini nimeweka picha za kuku wetu tulionao.

IMG_8311.png IMG_8547.png POSTA NA SIMU.jpg
 
Safi sana tuwekee na bei kabisa hapa tuje kamili kamili kuchukua kuku.
 
Safi sana tuwekee na bei kabisa hapa tuje kamili kamili kuchukua kuku.
Asante na karibu sana bei yao ni Tshs 5000 kwa vya siku na 7000 kwa vya wiki mbili hadi mwezi.
 
Amazing.
Mko wapi hapo sakina mkuu.
Na bei yao ni shilingi ngapi hakika wanapendeza sana.
tuko Sakina Kiranyi, unapandisha na barabara ya Songambele kama unapafahamu, barabara iliyo karibu na Sakina supermarket.
Bei yao ni Tshs 5,000 kwa vya siku na Tshs 7,000 kwa vya mwezi.
Karibu sana
 
5000! You cant be serious! Kwa kifaranga cha siku 1!
 
tuko Sakina Kiranyi, unapandisha na barabara ya Songambele kama unapafahamu, barabara iliyo karibu na Sakina supermarket.
Bei yao ni Tshs 5,000 kwa vya siku na Tshs 7,000 kwa vya mwezi.
Karibu sana

Songambele unapanda mita ngapi mpaka kufika.
Je kuna kibao/Tangazo lolote kati ya hio barabara?
 
Songambele unapanda mita ngapi mpaka kufika.
Je kuna kibao/Tangazo lolote kati ya hio barabara?
kwa sasa haujaweka kibao ila ukitaka kuja unaweza ukatutaarifu halafu tutakuchukua hapo Songambele, karibu sana.
 
Mbona bei ghali sana?karibuni niwauzie wa mwezi na wiki mbili kwa 4000 punguzo ni mazungumzo....
 
Kuku wazuri ila bei sasa!ila inshallah nikiwa poa nitapita
 
Back
Top Bottom