Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nipo katika mihangaiko mingi niko zangu huku kwa Manyang'au. Kusema ukweli mimi binafisi nilishwa wahi waona live hawa kuku,
Na kwa mwanza mtafika lini?
Hawa kuku niliwahi kutana nao Zambia ila kama ndo hawa basi mleta tangazo anapotosha sana, hawa kuku hawana uwezo wakufikia uzito huo na kama nadanganya hapa mleta tangazo aseme wanafikia huo uzito baada ya muda gani, ni kuku wa kawaida sana. Hapa ni watu kushoboka tu kwa kusikia jina nikija hapa na tangazo niseme nina kuku kutoka Alaska watu watashobokea sana, Chasha aje hapa aeleze walivyo. Ila ukweli ni kwamba kuna Mzambia mmoja alikuwa nao kule Lusaka ni wa kawaida kama kama kuku wengine
Mkuu nipo katika mihangaiko mingi niko zangu huku kwa Manyang'au. Kusema ukweli mimi binafisi nilishwa wahi waona live hawa kuku,
Mbuzi wasipungue uzani.wa kilo 10,, ngombe ndama wakubwa wa kuchijika.kwa nyama. BEI YA JUMLA
Export sio kazi ya muuzaji unless unao uwezo wa kusafirisha.
Hiyo bei haitalipa kwa sisi wafugaji,bora tuendelee kununua mtaani sh 2000tuko Sakina Kiranyi, unapandisha na barabara ya Songambele kama unapafahamu, barabara iliyo karibu na Sakina supermarket.
Bei yao ni Tshs 5,000 kwa vya siku na Tshs 7,000 kwa vya mwezi.
Karibu sana
Pole kwa maswaiba, kiukweli sisi hatufanyi biashara ya hivyo ni waaminifu na tuna hofu ya Mungu na tuna goal ya kudumu kwenye industry kwa muda kwa hiyo tusingependa kuharibu reputation, na tunasema ukweli unapo toa order kama hatuwezi kwa muda huo tunasema na tunakupa tarehe ya uhakika ambayo tutaweza, na hatuchukui hela mpaka vifaranga vyako viwe tayari au tukiwa tunakaribia kukutumia. Karibu sanaMkuu mimi kwa kuongezea hawa jamaa wa hizo pande za arachuga wamenifanya nisiamini biashara ya m2 yoyote. Mim ninachotaka kutoka kwa mtoa uzi authibitishie umma w JF kwamba biashara anayoifanya haitakuwa ya maswaibu kama ya bwana kitomari. Watu wamemtumia pea kitomari ikiwemo na mimi halafu jamaa kachikichia zile pesa na wala hakutuma chochote. Na hadi leo hapatikani. Sasa huyu bwana ajisafishe kwanza kabla watu hawajaanza kutuma pesa zao.
Hiyo bei haitalipa kwa sisi wafugaji,bora tuendelee kununua mtaani sh 2000
Aisee babe S, mtu anachakachua uzi wako nawe unaingia kichwa kichwa ukidhani anatoa infos za ukweli?!Asante kwa info, kuna special qualifications/standards za hao mifugo? na ni kwenda nchi gani?