President Elect
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 693
- 212
Waache wenzako bado wanamaumivu makal xana!
mwanangu amepewa div. 4 point 32 ni mwanasayansi mzuri hadi alipewa tuzo ya mwanafunzi bora Lengo Trust iliyopo bagamoyo na Mh. Mulugo sasa siku nne bado analia kuliko mwanamke aliyefiwa na mumewe