Habari Njema kwa waliopata Divisheni 0 - Form iv mwaka 2012

Habari Njema kwa waliopata Divisheni 0 - Form iv mwaka 2012

President Elect

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
693
Reaction score
212
Mamlaka ya VETA inatoa elimu kwa wahitimu wa kidato cha nne (Form iv leavers) hata kama wamepata Divisheni 0! Pia VETA imetoa ithibati kwa vyuo mbalimbali nchini kutoa mafunzo ya aina hiyo kwa wahitimu wote wa kidato cha nne. Unapojiunga VETA, unahitimu Level 3 na kupata cheti kinachotambuliwa na vyuo vilivyosajiliwa NACTE. Hivyo, vijana kazeni buti, jiungeni VETA mpate elimu bora na kusonga mbele taratibu hadi chuo kikuu!
 
mwanangu amepewa div. 4 point 32 ni mwanasayansi mzuri hadi alipewa tuzo ya mwanafunzi bora Lengo Trust iliyopo bagamoyo na Mh. Mulugo sasa siku nne bado analia kuliko mwanamke aliyefiwa na mumewe
 
mwanangu amepewa div. 4 point 32 ni mwanasayansi mzuri hadi alipewa tuzo ya mwanafunzi bora Lengo Trust iliyopo bagamoyo na Mh. Mulugo sasa siku nne bado analia kuliko mwanamke aliyefiwa na mumewe

mpeleke kwa wanasaikolojia ili apewe ushauri isi ikatokea kama wale walio jipunguzia maisha hapa duniani mara baada ya matokeo tu kutoka.
 
Back
Top Bottom