There are currently 3 users browsing this thread. (2 members and 1 guests)
Mambo shem! Eti ni kweli mumeo hununua hayo makitu pale? Kumbe ndio maana siku hizi sipati wateja!!! Nikimuona risasi 42 za SMG zinamhusu. Haiwezekani aondoke na wateja wote wale alokuwa anakuja nao kununuasiwaoni tena.
Hahahaaaaa Bishanga nakukosea jibu..kiboko yako The secretaryChocs yaani ujuevtangia ulivyonipa ofa ya dinner mt meru siku ile hujatoka kichwani mwangu,najaribu kukusahau nashindwa.
Mh huyo Amyner wa wapi mbona wangu ni msiri sana aisee Bishanga ? Chocs ni mtundu sana yan The secretary hamfikii hata tone labda Remmy kidoogo ndio anamkaribia.
Gwaride langu la kizee wala usiwatishe wake zangu
Pole sana bby, usijal nipo kwa ajili yakoNi kweli mpenzi....ile kitu inanitesa sana mumy....!
Kesho twende tukazurule kuleee kwenye mbusi wetu
Achaneni na cha tarime tumieni cha nading'oro kinauzwa kwa barakaa hapo car wash karibu na mt meru,puff moja unavua serewale mchana kweupe,mtaipendaje?
Cc: Arushaone Erickb52, Nicas Mtei na mahawara zenu!
King'asti mambo?
Sawa bi mkubwa Ruttashobolwa anajua unalipuliza?
aaaah wewe!hiyo mbona mi ndio hua
natumia na sijawah kumwaga radhi
acha kumfukuzia nanilii wateja wataogopa bana!!
mkuu hahaha..umenifurahisa hadi barakaa unamjua,jaji pia dah kweli we mkali na kudedicatia ngoma.....KITU CHA ARUSHA BY WORRIESAchaneni na cha tarime tumieni cha nading'oro kinauzwa kwa barakaa hapo car wash karibu na mt meru,puff moja unavua serewale mchana kweupe,mtaipendaje?
Cc: Arushaone Erickb52, Nicas Mtei na mahawara zenu
King'asti mambo?
Sawa bi mkubwa Ruttashobolwa anajua unalipuliza?