Habari njema kwa wanawake wenye matiti yaliyochapa usingizi

Some men are not bugged by sagged breasts.

They appreciate them knowing that they fed a little human being and that by itself is nothing short of a miracle.
 
hv mtoa post una mama?? au hujawahi kumuona?? yawezekana uliokotwa na hujawahi nyonya....anyways...pole sana!!!!
 
Acha ujinga wewe kuwadharirisha wanawake hivyo pimbi wewe tena kumbuka kuwa hata mamaako alipokuachisha yakabadilika kuwa na sifa kama ulizozitaja hapo juu.Kwa ufupi mleta uzi umenikera sana kwa kupondea wake zetu hivyo ndezi kabisa
 
ameshasema ni battle kwa kwenda mbele malapa v/s vibamia
 
Mzee baba unaita Ndala/Yaliyochapa usingiz unabid ule ban .....ahhaaaaa Jf kuna maajabu.
 
Sasa kama hana wazazi kama unavyo sema inamaana yeye ni MTU WA KALE? zinja au Zamadam?
 
We umesimamisha wangapi maana tusije tukapakaza wake zetu hayo ma vitu yako yakawa flat screen kabisa tukalaumiana
hahaaa ziwa likawa kama chupa ya chai sasa ..badala ya malapa
 
hahaaa kitu kimelala hatari
nakumbuka zamani walikuwaga wanasema
maziwa yamelala kama umepewa tends yakunyonyesha mayatima haaaha

mtoa post hana adabu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…