Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....Yalikuwa konzi ujue, sema midume yenye papara imeifuja na sasa wameitelekezaDah! Masikini malapa
nyie mbona mnatusimanga na vibamia vyetu tena vilivyowazaa, sembuse kuyanyonya tuuu.Hivi .maziwa uliyoyanyonya utasubutu kuyaita nalala
Ndo mana baba yako alikuwa anavigonga vitoto vya watu kumbe siri aliyokupa ni matiti...stupid!
hahaaa ziwa likawa kama chupa ya chai sasa ..badala ya malapaWe umesimamisha wangapi maana tusije tukapakaza wake zetu hayo ma vitu yako yakawa flat screen kabisa tukalaumiana
hahaaa kitu kimelala hatariMleta uzi huna lolote wewe!
Nia yako ni kuponda tuu hayo maumbile ya hao wanamama..
Paragraph zote ni masimango na kejeri! Nyau wewe!
Kumbuka hayo uitayo malapa ndio ulionyonya
, ndipo chakula chako cha kwanza kilipotoka na kilipo hifadhiwa kabla hujaota ata jino moja! Leo unajifanya kuya ponda kwa majina ya kudhalilisha.
Sio vizuri, kama unakuja na swala la tiba we nenda kwenya mambo ya tiba.
usirudie tena