Habari njema kwa wanawake wenye matiti yaliyochapa usingizi

Lakini mbona kwenye video huyo trainer mwenyewe matiti yake yamelala??? Nilitegemea nione yeye akiwa na chuchu saa sita
We umeonaje wakati kavaa nguo iliyoyafunika yote
 
Napita tu.... Maana wao wanavyo tushambulia na v le mutuzi vyetu.
 
We umeonaje wakati kavaa nguo iliyoyafunika yote
Kwa umri wangu chuchu saa sita zinajulikana hata zikiwa ndani ya nguo..na ujue kuwa na yeye ana ndala haonyeshi vizuri matiti yake ingawa yako ndani ya nguo
 
Am fine my watermelon[emoji7] , how 'bout you!?
Hahahahahaha I believe so kua you are very fine [emoji116] [emoji116] [emoji116] do you remember this word from ,Song of Solomon 8:6 which say ., set me as a seal upon thine heart ,as a seal upon thine arm : For love is strong as death and jealousy is cruelly as grave.the coals thereof are coals of fire which hath a most vehement flame.
 
Kwa umri wangu chuchu saa sita zinajulikana hata zikiwa ndani ya nguo..na ujue kuwa na yeye ana ndala haonyeshi vizuri matiti yake ingawa yako ndani ya nguo
Tusiandikie mate just try then after one wk come back utuambie matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…