Kwa hiyo kupiga punyeto mara moja moja ni nzuri kiafya!teh teh teh!
na ile uzuri wake hakuna kulipia.Umetisha mkuu,kuanzia sasa musterbation itanitambua
Mkuu gody waache waongezeke Wapiga Punyeto ili wanaouza Dawa za Nguvu ya kiume wapate wateja. tuna piga vita kuhusu suala la kupiga Punyeto watu wenginendio kwanza wana sisitiza kupiga Punyeto,pigeni punyeto mtakula nyasi tu tunawangojeeni mupungikiwe na nguvu za kiume muje mutuone tuwapeni dawa.Starudia tena ktk maisha yangu na nimetumia nguvu kubwa kuacha huu mchezo na umenicost sana
kuna matatzo mengi sana kutokana na hii kitu mf: kuwahi kufika killeleni
me ni mhanga wa matatizo yanayotokana na hii kitu Namshuru sana Mungu mpaka sasa
nimekaa sawa kwa kutumia baadhi ya vyakula,mboga mboga na matunda!
Si mshauri mtu kufanya hii kitu
amin usiamia ITAKUCOST baaadae!
Utakuja kuomba ushauri baadae hapa!!!
Za kuambiwa changanya na za kwako!!
Mkuu New Nytemare tena kama ulikuwa unapiga kwa siku mara 1 ongeza japo mara 2 au 3 lakini ikifika baada ya mwaka njoo unione utakuwa huna tena nguvu za kiume ukikutana na shemeji hapo hapo utakuwa umemaliza haja yako na huwezi tena kuendelea na mechi kazi kwako mkuu.duh nlikuwa na mpango wakuacha sasa nasema mi na puli damdam.. Ha haa
Hahhahahahhh kuna mtu akiona hapa atachekelea hadi basiii
Starudia tena ktk maisha yangu na nimetumia nguvu kubwa kuacha huu mchezo na umenicost sana
kuna matatzo mengi sana kutokana na hii kitu mf: kuwahi kufika killeleni
me ni mhanga wa matatizo yanayotokana na hii kitu Namshuru sana Mungu mpaka sasa
nimekaa sawa kwa kutumia baadhi ya vyakula,mboga mboga na matunda!
Si mshauri mtu kufanya hii kitu
amin usiamia ITAKUCOST baaadae!
Utakuja kuomba ushauri baadae hapa!!!
Za kuambiwa changanya na za kwako!!
Gody hawa watafiti wametuonyesha matokeo ya utafiti wao kwa watu wengi kama ilivyoona kwenye hiyo sample size yao. Sina hakika kwamba na wewe pia ulilinganisha hali iliyokupata na watu wengine kadhaa ambao nao walikuwa wahanga wa hiyo makitu ili kulinganisha kwamba mna matokeo yanayofanana ili uweze kufikia hilo hitimisho. Pia tatizo la kuwahi kufikia kileleni linaweza kusabishwa na mambo mengine mfano ukikutana na mwanamke ambaye umempenda au amekuvutia kupita kiasi basi raundi ya kwanza itakuja faster na unaweza kwenda several rounds! Lakini hili pia si tatizo kubwa kwani kuna mbinu za kupractice your organ muscles ili hatimaye uweze ku control when to ejaculate and reach maximum orgasm. So sioni ni kwa namna gani hili pekee limekutesa unless kuwe na madhara mengine ambayo hujayasema. Ningeweza kuelewa kama ungesema hii kitu imekusababishia kuwa una delay kufikia climax kwani in some cases mikono migumu inaweza kupunguza sensitivity ya penis, hasa kwenye kichwa, as compared to when inserted kwenye uke ambao naturally ni soft and with lubricants.
hao wapiga puli siku ya kiama watafufuliwa mikono yao ikiwa na mimba. nanukuu...
I hope utasikia siku moja.Nani kasema acha uogo iyo yai lakike ni mkono wako jaman kuwen serious achen kupoteza kundi
Starudia tena ktk maisha yangu na nimetumia nguvu kubwa kuacha huu mchezo na umenicost sana
kuna matatzo mengi sana kutokana na hii kitu mf: kuwahi kufika killeleni
me ni mhanga wa matatizo yanayotokana na hii kitu Namshuru sana Mungu mpaka sasa
nimekaa sawa kwa kutumia baadhi ya vyakula,mboga mboga na matunda!
Si mshauri mtu kufanya hii kitu
amin usiamia ITAKUCOST baaadae!
Utakuja kuomba ushauri baadae hapa!!!
Za kuambiwa changanya na za kwako!!
Weweeeee!!! Corner bar siendi tena nimepata mbadala wa soup
wapangaji wenzangu mjiandae kuchelewa kazini sitoki mapema
bafuni
Siyo kibao tu, na wana njaa kishenzi!!... Mbona wapo kibao?
duh, sasa ukibambwa na mkeo inakuwaje kwa walio ndoani? hahahahahahah!!!!!