Gody hawa watafiti wametuonyesha matokeo ya utafiti wao kwa watu wengi kama ilivyoona kwenye hiyo sample size yao. Sina hakika kwamba na wewe pia ulilinganisha hali iliyokupata na watu wengine kadhaa ambao nao walikuwa wahanga wa hiyo makitu ili kulinganisha kwamba mna matokeo yanayofanana ili uweze kufikia hilo hitimisho. Pia tatizo la kuwahi kufikia kileleni linaweza kusabishwa na mambo mengine mfano ukikutana na mwanamke ambaye umempenda au amekuvutia kupita kiasi basi raundi ya kwanza itakuja faster na unaweza kwenda several rounds! Lakini hili pia si tatizo kubwa kwani kuna mbinu za kupractice your organ muscles ili hatimaye uweze ku control when to ejaculate and reach maximum orgasm. So sioni ni kwa namna gani hili pekee limekutesa unless kuwe na madhara mengine ambayo hujayasema. Ningeweza kuelewa kama ungesema hii kitu imekusababishia kuwa una delay kufikia climax kwani in some cases mikono migumu inaweza kupunguza sensitivity ya penis, hasa kwenye kichwa, as compared to when inserted kwenye uke ambao naturally ni soft and with lubricants.