Habari njema kwa wapiga 'puli'

Habari njema kwa wapiga 'puli'

duh, sasa ukibambwa na mkeo inakuwaje kwa walio ndoani? hahahahahahah!!!!!

Ashindwe kubabwa na mama yake mzazii kipindi bado mtoto mtoto! ndo ije kuwa huyo mkewe wa ukubwani?
 
Embu kula 5 mkuu hawajui madhara yake wanafurahi tuu ebana kuacha huu mchezo siyo mchezo una zuru vibaya usijaribu
 
Kweli huo mchezo co mzuri nadhani wanaointertain wana interest zao wenyewe
 
Back
Top Bottom