Kwanza tunashukurun wotre kwa maoni na michango yenu,tunawaahidi kuwa kazi ndio imeanza,hatutarudi nyuma,napenda kutolea ufafanuzi juu ya mambo kadhaa
Platform
Katika masuala ya design inategemea nini lengo la baadae(Scalability),kwa kutumia CMS kunakuwa na limitation fulani, AfroIT ni full Technology hivyo huwezi kudesign kwa kutumia CMS,you never know usije ukasikia kuna CMS ya AfroIT,kiufupi kama mipango ikienda kama ilivyo basi AfroIT itakuwa ni kila kitu kuhusu ICT(kama umesoma kwenye About Us,AfroIT ni google ya kiTz,stay tuned) hivyo ni ngumu kutumia CMS,
Design & Animation
Kimsingi ni kweli kwenye graphics kuna mapungufu madogomadogo,ila hii ni kwa sababu lengo letu sisi ni kuweka kitu kiwe chepesi ili kutowapa watu wenye connection za mafungu matatizo,pia ukiangalia website nyingi za technology ni simple mno,ie our target is contents,ila tumechukua ushauri na tunaufanyia kazi,tegemea mabadiliko machache siku za usoni kwani team nzima ya AfroIT ipo kwa ajili hii
Lugha
Sisi lengo letu ni kuiwezesha jamii ya kitanzania,kama umeona tumejitahidi kutumia english na swahili ,hii ni kutokana na mazoea fulani,ingekuwa ni ngumu mno kama website yote ingekuwa ni kwa kiswahili,hivyo tumegawa kwenye Phase tatu,hadi phase ya mwisho inamalizika basi AfroIT itakuwa ni kiswahili kwa 80%.Ila tutajitahidi kwa kadri tuwezavyo tuwe na contents zenye manufaa na matumizi kwa Watanzania,stay tuned kusikia lactures za kiswahili kwenye fani mbalimbali,just some weeks.
Login
Login na register nadhani haina matatizo kwani tumetest kwa watu wengi,labda mkuu Maro kuna message gani inatokea? kwa wale members kama Mkuu Yonamaro ambao walishajisajili kwenye forums kwasasa tunaendelea na mchakato wa kiufundi ili kuwezesha watu kutumia infos za forums kwenye website,kwa sasa tunasikitika kusema inatakiwa ujisajili upya kwenye website ili uweze kutuma maoni. Blog na Download hazihitaji kulogin,ni just weka some infos then your ready to comment,kwa wale wenye mapenzi na kuandika(Bloggers),unaweza kuwasilianana webmaste kwenye
webmaster@afroit.com ili kukupa info za jinsi gani unaweza kuanza kutuma post kwenye blog
Bado tunakaribisha maoni wakubwa!
Kilongwe - AfroIT Admin