State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Mshindi wa kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu uliomalizika juma lililopita nchini Venezuela, Bwana Nicholas Maduro amepewa mualiko wa kuudhuria mkutano mkuu wa BRICS(jumuiya mpya inayokuwa kwa kasi zaidi duniani), utakofanyika katika mji wa Kazan-Urusi mwezi Oktoba mwaka huu.
Mualiko huu unaweza kuwa wenye tija kwa taifa hilo lililowekewa vikwazo vingi vya kiuchimi na mataifa ya magharibi ambavyo vilipelekea kuporomoka kwa uchumi, licha ya kuwa ndio taifa lenye utajiri mkubwa wa mafufa duniani.
Endapo Venezuela itakuwa nchi mwanachama wa BRICS+ basi tutegemee kuona mabadiliko chanya haswa ya kiuchumi.