State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Umeona eeh tunaanza na ule wa barrick wa madiniAfrika tuna fursa kubwa sana ya kutembelea huu upepo
Russia hawana noma jamaa wanajitafuta
Kuwa super kwa hiyo tukiwatumia hawa jamaa tunaweza kuvunja mikataba kadhaa
Vijana wakiambiwa humu, bila Marekani Israel anagongeka tuu kwa Muajemi wanabisha.....hapo wamarekani wenyewe wanajiapiza kuilinda Israel dhini ya IranMsemaji wa wizara ya mambo ya nje Matthew Miller amesema Marekani itailinda israeli kwa hali na mali.
"Tumewaambia Iran waachane na mpango wao wa kutaka kuishambulia Israeli kwani kufanya hivyo kunaweza kupelekea kutokea mgogoro mkubwa Mashariki ya Kati.
US State Department spokesman Matthew Miller says that US will defend Israel.
Hatufikirii (marekani) hata kidogo kama kutatokea mashambulizi ya aina yoyote." Anasema Miller.
"We have made it clear to Iran that they must avoid escalation and that we will defend Israel in the event of an attack. We don't think this attack has to happen and we are trying to prevent it".
View attachment 3063114
Anajitafuta, unataka atunyonye zaidi ili iwe rahisi kwao kufika Super power?Afrika tuna fursa kubwa sana ya kutembelea huu upepo
Russia hawana noma jamaa wanajitafuta
Kuwa super kwa hiyo tukiwatumia hawa jamaa tunaweza kuvunja mikataba kadhaa
Ipoje hiyo ya Barrick mkuu.Umeona eeh tunaanza na ule wa barrick wa madini
Ile ya makinikia mpk jpm akavunja mkataba lissu akawaa anawateteaIpoje hiyo ya Barrick mkuu.
Kwani haikuvunjwa hadi sasa? Nani aliruhusu Makanikia yaendelee ya safari kutoka pale Bandarini. Barrick wanachimba madini hadi Russia sijui unatambua hilo.Ile ya makinikia mpk jpm akavunja mkataba lissu akawaa anawatetea
Unaweza kutupatia ushahidi wa huo utetezi au ulipelea katika kumwelewa Tundu Lissu kama watz wengine wengi?Ile ya makinikia mpk jpm akavunja mkataba lissu akawaa anawatetea