HABARI NZURI: Sporting Lisbon yatenga billioni 23 kwa Fei Toto

Unakaa Kigogo, upanga au Nyagwa?
 
Sporting Lisbon ya Karagwe au Korogwe?
 
Kweli njaakalihatari!
 
Kwanza imebidi niangalie mwezi na tarehe ya leo. Nilidhani itakuwa tarehe 1 April 2022 kumbe ni Oktoba 6, 2022. Hii sio siku yako mkuu umekosea, subiri mwakani siku yenu tarehe 1 April 2023

 
Kumbe walikuwa wanamaanisha bilion 23? Yanga bwana......[emoji16]
 
Huyo Clement Mziza alienda kwa majaribio. Lakini hayuko kwenye squad ya Marseille.
 
Kwa hawa hawa utopolo a.k.a mavi fc waruhusu mchezaji aende Ufaransa?!!
Tena mchezaji anayeifunga Simba?

Wakimuuza nipo pale mniite ngoshi wane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…