Habari picha: Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wakutana na kufanya mazungumzo

Habari picha: Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wakutana na kufanya mazungumzo

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Screenshots_2021-09-15-16-21-41.png
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, hii leo Septemba 15,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.

Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
 
Kuna kitu hakiko sawa....! Inakuwaje mgeni anakaa kwenye kiti cha namna hiyo na mwenyeji anapose kwa staili hiyo!? Kuna uwezekano mleta mada anapotosha jambo fulani.
 
Kuna kitu hakiko sawa....! Inakuwaje mgeni anakaa kwenye kiti cha namna hiyo na mwenyeji anapose kwa staili hiyo!? Kuna uwezekano mleta mada anapotosha jambo fulani.
Sasa hapo kuna kipi cha kustaajabisha hadi tujadili hapa? Hata mikao nayo ya kujadiliwa? Kama mgeni kachagua kukaa hapo shida iko wapi?
 
Waziri Mkuu ndio kiongozi wa nchi ya Tanganyika kwenye mambo yasiyo ya muungano ambayo mama Samia mara ingine Anayaparamia

Hapo Mpango mshughulika na mambo ya muungano ana mu brief Kiongozi wa Tanganyika mambo ya kimuungano
 
Kuna kitu hakiko sawa....! Inakuwaje mgeni anakaa kwenye kiti cha namna hiyo na mwenyeji anapose kwa staili hiyo!? Kuna uwezekano mleta mada anapotosha jambo fulani.
Mfano wa upotoshaji?
 
Tupe dodoso ya walichoongea huenda wewe ulikuwa mpiga picha
 
Waziri Mkuu ndio kiongozi wa nchi ya Tanganyika kwenye mambo yasiyo ya muungano ambayo mama Samia mara ingine Anayaparamia.

Hapo Mpango mshughulika na mambo ya muungano ana mu brief Kiongozi wa Tanganyika mambo ya kimuungano
YEHODAYA:Vipi umeona hasara za kutokua na katiba? Watanganyika wapo chini ya wazenji.
 
View attachment 1939045
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, hii leo Septemba 15,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Watu wa hovyo ndio hushika nchi,this is very clazzy.
Salim Ahmed Salim ilibidi awe Raisi,system na uhuni ukamuweka Kikwete,Lowasa ilibidi awe Raisi,ushenzi ukatupa Jiwe,
 
Waziri Mkuu ndio kiongozi wa nchi ya Tanganyika kwenye mambo yasiyo ya muungano ambayo mama Samia mara ingine Anayaparamia

Hapo Mpango mshughulika na mambo ya muungano ana mu brief Kiongozi wa Tanganyika mambo ya kimuungano
Kumbe umeona leo haja ya Tanganyika kujitegemea?
 
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango leo September 15, 2021 amekutana kwa mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa

Viongozi hao wamefanya mazungumzo hayo muhimu Kwenye Ikulu ya Chamwino Dodoma
 
Back
Top Bottom