Habari picha: Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wakutana na kufanya mazungumzo

Habari picha: Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wakutana na kufanya mazungumzo

View attachment 1939045
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, hii leo Septemba 15,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Leo ndo wamezungumza mara ya kwanza au ndo mara ya kwanza kupigwa picha mbele ya flat screen
 
Safari hii top three hatuna wachangamfu!!
wakukimbizana na dunia!!
Wakuivuta dunia kuja kuwekeza tz.
Wakushawishi nakulob ma investers wakubwa duniani.
Wakukaa round table na majanja ya dunia na kuwashikia chini...
Kazi tunayo...
 
Yaani huyo bimkubwa naye kakubali kuitwa chief yaani hao wanaume waliofanya hiyo kitu akili zao zilikuwepo kwa muda huo kweli eeh[emoji22]!
Hata nashangaa wanampa cheo kisichoendana na jinsia yake
 
Back
Top Bottom