Habari Picha: Wachezaji walipigwa vichwa na refa sababu ya ukaidi uwanjani

Vpl Lazima tuingie kaka Iringa ni muda mrefu haijawahi kuwa na timu inayoshiriki ligi kuu.

Mpaka hapa tulipofika ni kwa taabu sana.

Wanapaluhepo Lunoge.
Aleee mvaha!!Mkangalage....Mwina kasi ndodo helaaa
Mwisakite ipoindi imwii helaa
 
Mbona kama ana Jipu,,
 
Hahahaha ! Ndo wakome ubishi! Huyo refa anapaswe achezeshe mechi ya yanga na simba
 
Huyo refa badala ya kumpa adhabu alistahili promosheni asaidie mechi kubwa kama zile wanazong'oa hadi viti ili kurejesha nidhamu uwanjani.
 
Hahahaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu refa noma weka mbali na watoto
Huyu ndio alifaa kuchezesha mechi ya watani wa jadi pale taifa
 
Enzi zetu tulikuwa watu Kama hao tunawaita 'Bichwa Nanga'
 
Duh refa anakata maboga ya hatari aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…