Habari Picha: Wachezaji walipigwa vichwa na refa sababu ya ukaidi uwanjani

Habari Picha: Wachezaji walipigwa vichwa na refa sababu ya ukaidi uwanjani

Vpl Lazima tuingie kaka Iringa ni muda mrefu haijawahi kuwa na timu inayoshiriki ligi kuu.

Mpaka hapa tulipofika ni kwa taabu sana.

Wanapaluhepo Lunoge.
Aleee mvaha!!Mkangalage....Mwina kasi ndodo helaaa
Mwisakite ipoindi imwii helaa
 
View attachment 466149

Hii ilikuwa huko Iringa,Refa msaidizi alipoamua kuwatandika vichwa wachezaji "jeuri" waliotaka kumpiga muamuzi wa kati kwa madai kuwa anapeleka mambo kwa upendeleo.

Wachezaji hawa wawili walikula vichwa mpaka kupata majeraha,huku mmoja akilia hadharani kama mtoto mdogo.

Refa msaidizi amepewa adhabu kwa kosa hili...hawa ni wachezaji wa Mshikamano FC waliotaka kuleta vurugu baada ya kufungwa na "Wanapaluhengo Lipuli FC".Marefa wa siku hizi sio wa mchezomchezo!!!View attachment 466144
Mbona kama ana Jipu,,
 
Hahahaha ! Ndo wakome ubishi! Huyo refa anapaswe achezeshe mechi ya yanga na simba
 
Huyo refa badala ya kumpa adhabu alistahili promosheni asaidie mechi kubwa kama zile wanazong'oa hadi viti ili kurejesha nidhamu uwanjani.
 
Hahahaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu refa noma weka mbali na watoto
Huyu ndio alifaa kuchezesha mechi ya watani wa jadi pale taifa
 
Enzi zetu tulikuwa watu Kama hao tunawaita 'Bichwa Nanga'
 
Back
Top Bottom