Habari, Seriously nahitaji mchumba

Habari, Seriously nahitaji mchumba

Mibas

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,196
Reaction score
6,367
Salaams kwenu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 muislam, nafanya kazi kwa kuajiriwa kipato changu kinaniwezesha kumudu mahitaji yangu kwa ujumla. Namtafuta mchumba mchamungu, anaejihemu na kuheshimu wengine.
Alie tayari ani PM for more information

Asanteni
 
Kijana?wewe ni me au ke
 
Ndugu Tegemea mimi mwanaume.
Una swali lingine?
 
Salaams kwenu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 muislam, nafanya kazi kwa kuajiriwa kipato changu kinaniwezesha kumudu mahitaji yangu kwa ujumla. Namtafuta mchumba mchamungu, anaejihemu na kuheshimu wengine.
Alie tayari ani PM for more information

Asanteni

Nakushauri ukatafute masjid maalim
Pia umwambie kabisa kama utaongeza nyumba ndogo 3 kukamilisha round
OTIS
 
Nakushauri ukatafute masjid maalim
Pia umwambie kabisa kama utaongeza nyumba ndogo 3 kukamilisha round
OTIS
Au apeleke posa kwa mtoto wa Imaam, maana wale watoto zao huwa hawaolewi kwa ridhaa zao bali Baba zao ndio uchaguwa muowaji.
 
I do respect all ur advice, Lakini hii ya OTIS haijakaa sawa
 
uko siriaz?
Umeshapanga ndita ngapi?

haya, ongela.
 
dhumuni la kutaja diniyako ni nini!?...ndo maana ukaambiwa posa mtoto wa imamu.au uende makha.
 
good luck mwaya,hujasema unayemtaka awe na umri gani,umbo na kazi ya kumuingizia kipato...au hujali hivi vigezo?
 
Back
Top Bottom